mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,036
Club za michezo mwezi huu hakuna mashabikiKukesha kwenye maombi ni jambo zuri kuliko kukesha Club
Club za michezo mwezi huu hakuna mashabikiKukesha kwenye maombi ni jambo zuri kuliko kukesha Club
Mashabiki ndio hao hao wafungaji, kwa kweli tusimtanie MunguClub za michezo mwezi huu hakuna mashabiki
Mungu huwezi kumtania la sivyo utalaaniwaMashabiki ndio hao hao wafungaji, kwa kweli tusimtanie Mungu
Utalaaniwa kutokana na vitendo vyako viovu unavyovifanyaMungu huwezi kumtania la sivyo utalaaniwa
Usiku wa manane ndio mida ya wanga lakini mi nipo machoHujalala wewe kituko, unaendelea kufanya vituko usiku wa manane
Macho ya panya yanaona hadi kwenye gizaUsiku wa manane ndio mida ya wanga lakini mi nipo macho
Giza likiingia taa hutuangazia kila pembe ya mji.Macho ya panya yanaona hadi kwenye giza
Mji umefurika kipindi hiki karibu na Eid, hatimae ndugu kituko amerudi sasa ishakua vituko mana na yule mwengine akija itakua uwanja wa fujoGiza likiingia taa hutuangazia kila pembe ya mji.
Fujo inaondosha amani..Mji umefurika kipindi hiki karibu na Eid, hatimae ndugu kituko amerudi sasa ishakua vituko mana na yule mwengine akija itakua uwanja wa fujo
Amani inatakiwa itunzwe kwa gharama yeyoteFujo inaondosha amani..
Yeyote atakayeshinda mchezo huu nitampigia makofiAmani inatakiwa itunzwe kwa gharama yeyote
Makofi ya pongez,ila mpaka apatikane sio kazi ya mchezoYeyote atakayeshinda mchezo huu nitampigia makofi
Mchezo mtamu huu mpaka watu wanatuonea donge wanaona tunafaidiMakofi ya pongez,ila mpaka apatikane sio kazi ya mchezo
Tunafaidi sana na mchezo wetu wanataka kuuharibuMchezo mtamu huu mpaka watu wanatuonea donge wanaona tunafaidi
Kuuharibu alishadhamiria ila tulimdharau...nahisi malaria ilimpanda kichwaniTunafaidi sana na mchezo wetu wanataka kuuharibu
Kichwani kwangu siwezi kupaonaKuuharibu alishadhamiria ila tulimdharau...nahisi malaria ilimpanda kichwani
Kupaona au kutopaona hakukusaidii chochote MkuuKichwani kwangu siwezi kupaona