RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,613
Moderators please angalieni kinachoendelea na huyo member Mdonkela ana abuse members katika hii thread. Amekiuka maudhui ya kuchangia kisha anatukana watu please do the needful.
sheeeeeeeeeeeeeeeenzi type mama ananiita kila nikivunjapo kikombeWAMEZIDI KUA STUPID. NILIANZISHA MPANGO WA KUWAFURUMUSHA WOTE SEMA NIKAKUMBWA NA MARALIA KATIKATI HAPA NIMERUDI KWA KISHINDO. TOKAAAAAAAAAAAAAAAA WOTE NIBAKI MWENYEWE. SHEEEEEEEEEEEEEENZI
emmyta,James comey, Halloperidon,thatsit,dingimtotoHapakufai kwa watu wa namna hiyo, tuwapuuze na tusijibizane nao chochote sisi tuendelee kama kawaida hata kama apost post nyingi kiasi gani.
Sisi tuqoute post zetu tu.
Akichoka ataondoka mwenyewe
Marafiki wa kufa na kuzikanaPili Na juma ni marafk
Kuzikana sio rahisi kwa sababu tulio wengi tuko sehemu tofautiMarafiki wa kufa na kuzikana
Kuzikana ndio wajibu wetu kwa watu wote bila kubaguanaMarafiki wa kufa na kuzikana
Kubaguana sio kitu kizuri tuyaangalie mataifa yaliyoleta ubaguzi mwisho wake huwa mbaya.Kuzikana ndio wajibu wetu kwa watu wote bila kubaguana
Mbaya zaidi alijaribu kudisturb tranquility of the existing noble communityKubaguana sio kitu kizuri tuyaangalie mataifa yaliyoleta ubaguzi mwisho wake huwa mbaya.
Mbaya zaidi alijaribu kudisturb tranquility of the existing noble communityKubaguana sio kitu kizuri tuyaangalie mataifa yaliyoleta ubaguzi mwisho wake huwa mbaya.
Community Air line ni ndege ambayo ilitamba miaka ya nyuma kidogo, siku hizi sijui imeishia wapi!Mbaya zaidi alijaribu kudisturb tranquility of the existing noble community
Wapi tunaelekea kibiti mauaji kila siku tumechokaCommunity Air line ni ndege ambayo ilitamba miaka ya nyuma kidogo, siku hizi sijui imeishia wapi!
Tumechoka na usaliti wa viongozi nchi hiiWapi tunaelekea kibiti mauaji kila siku tumechoka
Hii hali ya sasa inatishia usalama wa taifaTumechoka na usaliti wa viongozi nchi hii
Taifa linahitaji maombiHii hali ya sasa inatishia usalama wa taifa
Maombi ya kufunga na kukeshaTaifa linahitaji maombi
Kukesha kwenye maombi ni jambo zuri kuliko kukesha ClubMaombi ya kufunga na kukesha