Wa mwisho ndiyo mshindi

Sinza si ndio inasemekana kila baada ya nyumba kuna bar na zote zinajaa.
Zinajaa kwelikweli halafu utaskia watu eti ni usawa wa magufuli
Me ninahisi hua ni kejeli kwahiyo tuendelee tu kukaza msuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…