Wa mwisho ndiyo mshindi

Nisiseme, mimi nasema. Mbona kuna vijana humuhumu JF wanataka kujinyonga kwa kukosa ajira!
Ajira ipo tu, mbona mimi nimejipatia Uenyekiti wa huu mchezo na emmyta ni msaidizi wangu
 
Ajira ipo tu, mbona mimi nimejipatia Uenyekiti wa huu mchezo na emmyta ni msaidizi wangu
Wangu uenyekiti msaidizi nitautumia kutatua matatizo ya kila mdau wa humu tena matatizo yale yanayohitaji ushauri ndio nayapa kipaumbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…