Wa mwisho ndiyo mshindi

Zakumi ni jina langu, mimi kijana nyingwa.

Mrembo waniita kaka, nini unataka kuninyima?
Kuninyima pia ni sawa hata sitaki unipe. Duuh na wewe hutaki kunyimwa hongera niambie basi niwe nakuitaje...
 
Nakuitaje.. Unakumbukaa tulivolala pamojaa Kulee Kwa bibi ila ukakataa kabisa kunipa mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…