Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Bado kidogo
Pangaboi zipi za anko magu au?Bado tunaanda usafiri wa pangaboi
Bado tunaanda usafiri wa pangaboiNaondoka na nyie mmesha jiandaa tayari au bado
Jakitoo ni mjinga sanaUsafiri gani anao jakitoo?
Jakitoo ni mjinga sana
sana yanii umejuaje mzee wa kuvunja viunoSana!! Sio vizuri kutoa matusi we mvunja viunoJakitoo ni mjinga sana
Hahahaha we jamaa umeharibu haha![]()
![]()
![]()
sana yanii umejuaje mzee wa kuvunja viuno
Viuno vitavunjwa tu kama vitapata wavunjaji sahihiSana!! Sio vizuri kutoa matusi we mvunja viuno
Hahaa. Sio kuharibu. Humu tuna heshimiana bila kujali jinsiaHahahaha we jamaa umeharibu haha
Inanivutia sana pale tunapokwenda sambamba pasi kukwazanaJinsia ni kitu kizuri sana hasa kwangu napenda ya kike kwa kuwa inanivutia
Jinsia ni kitu kizuri sana hasa kwangu napenda ya kike kwa kuwa inanivutia
Kukwazana hakuepukiki kwa kuwa ni changamoto za maishaInanivutia sana pale tunapokwenda sambamba pasi kukwazana
Inanivutia sana tabia nzuri yenye stahaJinsia ni kitu kizuri sana hasa kwangu napenda ya kike kwa kuwa inanivutia
Inanivutia sana tabia nzuri yenye staha
Ni jambo zuri na lina heshima yakestaha kwa mwanamke ni jambo zuri