mvunja viuno
Member
- May 4, 2017
- 34
- 28
Zinalingana lakini hazifanani
Zinalingana kwa sababu tuna mitazamo sawayake na yangu zinalingana
Sawa nmekubali hamna mshindi mpk dakika hiiZinalingana kwa sababu tuna mitazamo sawa
Sawa nmekubali hamna mshindi mpk dakika hii
Kidogo kidogo hali ya mgonjwa ilianza kubadilika.hazifanani hata kidogo
Makande yaliyokobolewa na kuwekwa njugu! Hapo MaaShaallahhii mida ya diner karibuni makande
Makande nimeyakumbuka ungesema mapema sasahii mida ya diner karibuni makande
Sasa ni wakati wa kufunga mkandaMakande nimeyakumbuka ungesema mapema sasa
Mkanda wa suruali nimeununua anayetaka aje nitampatia bureSasa ni wakati wa kufunga mkanda
Sasa ni wakati wa kufunga mkanda
Kenge mnyama gani huyomkanda wangu umetengenezwa na ngozi ya kenge
Makande kwenye dinner menu muafakahii mida ya diner karibuni makande
Huyo ni mnyama hatari sana!Kenge mnyama gani huyo
Huyo anaye kusanya rambirambi nani.Kenge mnyama gani huyo
Nani asiemjua kama ni weweHuyo anaye kusanya rambirambi nani.
Nani anayemjua mungu mtuHuyo anaye kusanya rambirambi nani.
Mtu huyo naniNani anayemjua mungu mtu
nani anataka tuende live china barMtu huyo nani