Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,117
- 122,526
Nipo hapa nawaona mjueKuhangaika bure wakati mshindi nipo hapa
Nipo hapa nawaona mjueKuhangaika bure wakati mshindi nipo hapa
Mjue siwaelewi humuNipo hapa nawaona mjue
Madaraka ya kulevya ni mabaya sana katika umri mdogoMshindi gani ndo kwanza leo nakuona, acha kujipa madaraka
Tunajielewa ndio maana tunaendelea na mapambano dhidi ya utawala wa kidiktetaMdogo nani humu,wote tunajielewa
Unamfaa lakini kwa akili yake anaona anadhalilishwaDikteta kamwe hawezi kusikia ushauri wa mtu hata kama unamafaa
Unamfaa lakini kwa akili yake anaona anadhalilishwa
Makonda huyu huyu anayeitwa bashite ama mwingineanadhalilishwa kama makonda
Makonda huyu huyu anayeitwa bashite ama mwingine
Cheti ndio chanzo cha familia nyingi kulala njaa.mwingine ni mwigulu naskia hana cheti
Njaa ni mbaya sana! Watuwanadiriki kukana ukweli wa misimamo yao walioisema ili wapate tongeCheti ndio chanzo cha familia nyingi kulala njaa.
Cheti ndio chanzo cha familia nyingi kulala njaa.
Mia kwani inatumika badonjaa inatesa jamani na huwa inazidi ukiwa huna hata mia
Bado inatumika hasa kwenye daladalaMia kwani inatumika bado