Wa mwisho ndiyo mshindi

Watang'amua lini Watanzania wa vijijini kuwa kuna haja ya kubadili Chama cha kutuongoza
Kutuongoza hakuitaji chama, kunahitaji hekima.

Muundo wa vyama vya siasa, ni desturi ya kuiga bila kujua.

Tukiacha mifumo tusiyojua, washambani watang'amua.

Uongozi wa nchi ni fani, inayohitaji hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…