Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Sababu huwa siyo tija bali ni hiyari....kukanusha kwake kuna sababu
Sababu huwa siyo tija bali ni hiyari....kukanusha kwake kuna sababu
Hiyari ni juu yangu ZZ ngoja nkufate hukoSababu huwa siyo tija bali ni hiyari....
huko nilipo Mwee hakuna hata mmoja wenu anapajua au kufika kamwe.....Hiyari ni juu yangu ZZ ngoja nkufate huko
Huko alipo unamfata ili iwejeHiyari ni juu yangu ZZ ngoja nkufate huko
Kamwe siogop kufika huko uliko,ntakutafuta kwa hali na malihuko nilipo Mwee hakuna hata mmoja wenu anapajua au kufika kamwe.....
huko wapi tena na mimi nijeHiyari ni juu yangu ZZ ngoja nkufate huko
Nije pia na mimihuko wapi tena na mimi nije
iweje ati!! mtu nipo nje ya mipaka yenu sina hata ndugu!!Huko alipo unamfata ili iweje
Ndugu unao si mm apa,namchukua kaka Daby na sister Lizy nakuja nao hukoiweje ati!! mtu nipo nje ya mipaka yenu sina hata ndugu!!
ndugu zako si ndio sisi Zamiluni Zamiluni, au unatukana hadharaniiweje ati!! mtu nipo nje ya mipaka yenu sina hata ndugu!!
Mimi nakukaribisha shemj wetu...Nije pia na mimi
... hizi alama zina maana gani kwenye ukaribishoMimi nakukaribisha shemj wetu...
Hadharani nilipofilisika mlinitupa na kunisusa!!ndugu zako si ndio sisi Zamiluni Zamiluni, au unatukana hadharani
mimi ningekushangaa kama ungeniacha niende peke yanguNije pia na mimi
Yangu nafsi haiwezi kuruhusu hayo yatokeemimi ningekushangaa kama ungeniacha niende peke yangu
yatokee yote ila kama kashfa isitokeeYangu nafsi haiwezi kuruhusu hayo yatokee
Isitokee ndiyo naungana na hiliyatokee yote ila kama kashfa isitokee
yatokee 'mapinduzi' utawaona wanavyochanganyikiwaYangu nafsi haiwezi kuruhusu hayo yatokee
Wanavyochanganyikiwa kwa kupoteza viti na madaraka !!yatokee 'mapinduzi' utawaona wanavyochanganyikiwa
madaraka raha yake kupokezanaWanavyochanganyikiwa kwa kupoteza viti na madaraka !!