Ni mungu pekee wa kuinua maisha yangu juu sio Fulani.. God bless hustle buddies kama Mimi na weweWakuu tujifunze, tuelimke ili tuwe chachu katika maendeleo ya nchi yetu, maana sasa inakoelekea anayejua ni Mungu pekee
Wewe ndiye utakayeleta mabadiliko juu ya maisha yako kulingana na unachokiaminiNi mungu pekee wa kuinua maisha yangu juu sio Fulani.. God bless hustle buddies kama Mimi na wewe
Unachokiamini kaka, sio cha Idd Amini.Wewe ndiye utakayeleta mabadiliko juu ya maisha yako kulingana na unachokiamini
mwarobaini ni mchungu daahUnachokiamini kaka, sio cha Idd Amini.
Mwashie kaka Bashite, aunywe mwarobaini.
Daah !! mshtuko huo ulitustaajabisha halaiki ya watu waliyo hadharani!!mwarobaini ni mchungu daah
hadharani kibalani walifumwa wakiiba kukuDaah !! mshtuko huo ulitustaajabisha halaiki ya watu waliyo hadharani!!
Kuku hawa wakizungu wana magonjwa kadha yanayosanabisha madhara....hadharani kibalani walifumwa wakiiba kuku
Madhara ya madaraka ya kulevya ni makubwa sana kwa maendeleo katika jamii.Kuku hawa wakizungu wana magonjwa kadha yanayosanabisha madhara....
Jamii hii imebatizwa kusherehekea na kupiga makofi huku wakifumba macho wakitahamaki wanajikuta chalii....Madhara ya madaraka ya kulevya ni makubwa sana kwa maendeleo katika jamii.
Nyumba ndio ina thamani kuliko mapenziMapenzi yana thamani gani ktk mila za waswahili...?!?
Mapenzi !!! umekurupukia wapi Ivan !!!Nyumba ndio ina thamani kuliko mapenzi
Hizi mvua zisiendelee kunyesha kabisa maana ninakoekekea naanza kuwa kichaaaMapenzi !!! umekurupukia wapi Ivan !!!
hebu tafadhali soma sheria za uzi huu hapo juu
Kichaa yupo ukingoni mwa korongo anajitosa !!Hizi mvua zisiendelee kunyesha kabisa maana ninakoekekea naanza kuwa kichaaa
anajitosa kwa lip kisa na mkasaKichaa yupo ukingoni mwa korongo anajitosa !!
Mkasa wa kuchanganyikwa baada ya kufeli mtihani wa form four !!!!anajitosa kwa lip kisa na mkasa
form four ya sasa sio kama ya zaman enz zile za mjerumanMkasa wa kuchanganyikwa baada ya kufeli mtihani wa form four !!!!
Form four kufeli, sio mwisho wa maisha.Mkasa wa kuchanganyikwa baada ya kufeli mtihani wa form four !!!!
Mafumbo huficha maana yake ya asiliForm four kufeli, sio mwisho wa maisha.
Cheti waweza nunua, na urais wa mkoa kuukwaa.
Lakini taadhari, wanoko wasikunasue.
Mitandaoni watakuita, majina yenye mafumbo.
Asili ni jasiri haachi kitu bila kukibinua nje ndani..Mafumbo huficha maana yake ya asili
Ndani waingia kutafuta niniAsili ni jasiri haachi kitu bila kukibinua nje ndani..