Wa mwisho ndiyo mshindi

Kule sitaenda in condition kwamba na wewe hutaenda
Hutaenda ehh basi hapo sawa, mimi kule ni mtazamaji tu ila wakina shunie, fakalava, daby, alibakari hawa watu kule ndiyo wachezaji mpira wengine ni mashabiki
 
Hutaenda ehh basi hapo sawa, mimi kule ni mtazamaji tu ila wakina shunie, fakalava, daby, alibakari hawa watu kule ndiyo wachezaji mpira wengine ni mashabiki
Mashabiki wapi hamchangii Jukwaani mnamalizana pm
 
Hivi bado ipo hii nyuzi? Mmh mpaka mwanangu atakuja kuchangia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…