Wa mwisho ndiyo mshindi

Utamu gani, mbona una maneno mengi sana wewe
 
Jamani naomba kama wewe ni mzuri uje pm . Tupange namna ya kuendeleza hicho kilimo chako lizy maneno haya yalisemwa na toxic9
Toxic9 hajasema banah daby unatumia falsafa kali kupata mchumba, lizy ameshakuelewa atakuja PM, ila pia ni lazima aniombe ruhusa
 
Game ili iwe tamu m qoute mtu wa juu yako.
Yako falsafa ni point tupu, sema umesahau pamoja na mkonge kupita nchini ila kuna kasumba ya mtandao, na pia sio wadau wote wanatumia simu zenye 4G LET so mtu unaweza quote mtu wa juu yako na hii horrible net ukashangaa upo kwenye post ya 20 wakati you were the first to quote, upo hapo daby
 
Daby keshaenda kwenye lile Jukwaa pendwa lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…