Ghafla imagine umelala kwenye nyumba yako na ni usiku na upo peke yako na nje kuna mvua inanyesha ghafla ukasikia hodi kufungua mtoto wa kike, ukapata mgeni, na huyo mgeni mwenyewe ni wa kike na akawa anaomba hifadhi kwako kwa kuwa amepata matatizo na amekimbilia kwako na khanga moja tu na imelowana sana, je nikikupa peni kumalizia hii story utaimalizaje bila kuharibu utamuBanah mie kwahulka zangu ni mpole ila hucharuka ghafla....!!
kunyesha mvua ndio furaha yetu sisi wakulimaGhafla mvua ikaanza kunyesha
Wakulima nyie watu wa ajabu saanakunyesha mvua ndio furaha yetu sisi wakulima
utamu upi unaouongelea hapaGhafla imagine umelala kwenye nyumba yako na ni usiku na upo peke yako na nje kuna mvua inanyesha ghafla ukasikia hodi kufungua mtoto wa kike, ukapata mgeni, na huyo mgeni mwenyewe ni wa kike na akawa anaomba hifadhi kwako kwa kuwa amepata matatizo na amekimbilia kwako na khanga moja tu na imelowana sana, je nikikupa peni kumalizia hii story utaimalizaje bila kuharibu utamu
Kunyesha kwa mvua ehh, yani umewaza kama mimi wewe ni kiboko, i was thinking the same kuendeleza zz alichosemaGhafla mvua ikaanza kunyesha
Hapa anaongelea utamu wa kujikuna kisogo.utamu upi unaouogelea hapa
wa ajabu saana kama huyu Boss wangu, ana gubu balaaWakulima nyie watu wa ajabu saana
Alichosema mleta uzi unatakiwa u qoute comment ya juu yako na sio kama mnavyofanya nyieKunyesha kwa mvua ehh, yani umewaza kama mimi wewe ni kiboko, i was thinking the same kuendeleza zz alichosema
Makubwa yanayotokea nchini tupige stop, tunataka ROMA arudishwe salamaKunyesha huko kulisababisha mafuriko makubwa
Balaa huletwa na watu wasiojielewa. Pole saana hamia ofisini kwanguwa ajabu saana kama huyu Boss wangu, ana gubu balaa
Wakulima wetu wamebadilishiwa kibaokunyesha mvua ndio furaha yetu sisi wakulima
Salama ni kondomu tu . Salama zingine sio salamaMakubwa yanayotokea nchini tupige stop, tunataka ROMA arudishwe salama
Kibao cha Roma Viva Roma viva ni kizuri kuskiliza.Wakulima wetu wamebadilishiwa kibao
Hapa utamu uleee only great thinker wataweza kufafanua muendelezo, lizy jamaniiii unaniangushaaaaaaa yani kusikia husikii hata kuona jamaniutamu upi unaouongelea hapa
kusikiliza sauti za ndege huko porini !!!Kibao cha Roma Viva Roma viva ni kizuri kuskiliza.
Jamani naomba kama wewe ni mzuri uje pm . Tupange namna ya kuendeleza hicho kilimo chako lizy maneno haya yalisemwa na toxic9Hapa utamu uleee only great thinker wataweza kufafanua muendelezo, lizy jamaniiii unaniangushaaaaaaa yani kusikia husikii hata kuona jamani
Nyie wakina daby mnafanyaje rules of the gameAlichosema mleta uzi unatakiwa u qoute comment ya juu yako na sio kama mnavyofanya nyie
Game ili iwe tamu m qoute mtu wa juu yako.Nyie wakina daby mnafanyaje rules of the game