Wa mwisho ndiyo mshindi

Mwenyewe nashangaa hali ya sasa,,unaweza ukatongoza mama ntilie akakuambia hajala tangu asubuh
Asubuh watu wanakuwa na "mood" za ajabu ajabu,inaonekana unapenda sana kutongoza.
 
Ipi sababu iliyokusukuma kuniuliza itikadi yangu,Siwapendi na huwa nawakemea wabaguzi wa rangi na wabaguzi wa kipato.
Kipato duni mahitaji mabovu
Wanaotaka uspuni huishia kutokwa mapovu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…