Promosheni haitowezekana kwa sbb bajeti ni finyu !!!Viroba na vipigwe tu marufuku, kwanza havina promosheni![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Finyu mno mpaka mfuko wa maendeleo umekaukaPromosheni haitowezekana kwa sbb bajeti ni finyu !!!
Umekauka au umekaushwa na wajanja maana mapato ya ukusanyaji kodi umepanda....Finyu mno mpaka mfuko wa maendeleo umekauka
Umepanda kwa kuwa kodi inakusanywa ki-digitaliUmekauka au umekaushwa na wajanja maana mapato ya ukusanyaji kodi umepanda....
Kidigital ni mfumo imara na huweka wazi kila sekunde pale kodi hulipwa na kila muhusika anaiona namba ya mita invyo panda !!Umepanda kwa kuwa kodi inakusanywa ki-digitali
Umekauka kwa sababu hazingii kwenye mfuko bali zinaenda moja kwa moja tumboni!Finyu mno mpaka mfuko wa maendeleo umekauka
Tumboni kunashindiliwa chachu za dhambi..!!Umekauka kwa sababu hazingii kwenye mfuko bali zinaenda moja kwa moja tumboni!
Dhambi kutubu kwake ni kuacha yaliyokatazwa na Muumba Mbingu na ArdhiTumboni kunashindiliwa chachu za dhambi..!!
Waungwana hata mie ntafurahi kupata maana ya Ardhi oevu !!?!!Ardhi oevu maana yake nini waungwana
Oevu nadhani ni ardhi yenye majimaji au tepetepeWaungwana hata mie ntafurahi kupata maana ya Ardhi oevu !!?!!
Ndio nini haujui au unataniaForm four, kiswahili chake ndio nini?
Ukweli wa yote ni kwa NdalichakoUnatania au ndio unaniambia ukweli
Ndiyo chako hicho lazima ujivunie.....Ukweli wa yote ni kwa Ndalichako
Ujivunie utaifa wako na kuwa mzalendoNdiyo chako hicho lazima ujivunie.....