Madhara ya asilimia 100 ni kutoshirikiana katibya wayminibwa dini zote tuelekeze maombi kwa mola wetu atuteremshee mvua zitufaae na tulalime....Bure ina madhara wakuu tusipende vya bure kama hauna tafuta kwa jasho lako utafanikiwa trust me vya bure vina madhara 100%
Tukakime !! nashukuru kunisahihisha Princess Rahabu mlezi ....Tulalime au tukalime
kiumri khaswa umesema kuntu !!Mlezi mzuri ni yule aliekomaa kiumri
Kuntu haswa na ni sahihikiumri khaswa umesema kuntu !!
Jamani hapa kwetu saa hizi ni usiku wa saa naneSahihi ya mh.magu ipoje jamani
Sasa imedhihiri kuwa hakuna upendeleo....Nane toa NNE ndo saa ya hapa bongo kwa sasa
Upendeleo una madhara yake ona wanavyotia huruma waliokuwa makazini bila sifa ila kwa upendeleo tu sasa wote wapo kitaa na wao wanabet siku hiziSasa imedhihiri kuwa hakuna upendeleo....
Hizi ndiyo adhar za upendeleo uliyokubuhuUpendeleo una madhara yake ona wanavyotia huruma waliokuwa makazini bila sifa ila kwa upendeleo tu sasa wote wapo kitaa na wao wanabet siku hizi
Ukiritiba hurudisha nyuma maendeleoUpendeleo uliyokubuhu hujenga ukiritimba