Wa mwisho ndiyo mshindi

Alikosea sana kwa kuongea lugha ya chuki aliyojaa ubaguzi na kufanya aonekane kama mtu ambaye bado hajajitambua
Hajajitambua kweli mkuu, hakutumia busara kabisa. Ila bila kujua ndo alizidi kumuweka harmorapa kwenye media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…