Kuugua fangasi unajitakia mwenyewe, fua anika nje zikikauka zipige pasi, siku nyingine ziloeke kwenye maji ya moyo 4- 8 minutes toa fua anika juaniNdani kunafanya pichu zina vunda alaf ni rahisi kuugua fangasi[emoji102]
Juani tena lile jua LA SAA 5-9 zikaukee kau kau kama kashataKuugua fangasi unajitakia mwenyewe, fua anika nje zikikauka zipige pasi, siku nyingine ziloeke kwenye maji ya moyo 4- 8 minutes toa fua anika juani
Kinoma noma ni neno la kihuniMchezo huu jamani nimeumiss kinomanoma
Njaa inasababisha watu wauze vyaoKimya chenu hicho ndio kinanilaza mwenzenu njaa.
Wao wakikaa kimya ww funguka zungumza nao ujue tabia zaoVyao wao vinawahusu wao