Wa mwisho ndiyo mshindi

Kwanza pesa yenyewe ikipatikana inaishia mkononi hakuna cha akiba
Akiba(saving) ni mfumo mzuri wa fedha kwaajili ya kuendesha maisha yako , hii elimu natamani nidondoshe nondo hapa au ka-article kakusaidie kukupa elimu ya nini maana na dhana ya kuweka akiba, natamani nikufundishe ila kwa kukusaidia nenda kasome kitabu kinaitwa BUSINESS SCHOOL BY ROBERT KIYOSAKI
 
Nitakitafuta mkuu nikisome lakini ungedondosha kwenye jukwa la elimu hata wengine wajifunzi kupitia wewe. Hata kwa ufupisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…