Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Hapa ni kisima cha elimu wanakuja kukuelewashaBure ni aibu,,tusipende bure inatuabisha kila sehem,tujarbu kulipia kila jambo ili uchum wa mtu mmoja mmoja uwe imara,,,nashangaa najarib kulaza maandishi nashindwa mnafanyaje hapa
Yangu machozi yakitoka ni laani kwa aliyesababishaInaponza hasira kuona una ignore machozi yangu
Huko kama wazima nafurahi sana aisha wangu jamani karibu kwetuAisha na ndugu zake wazima wote sjui nyinyi huko
Umechongesha kinyago cha simba na FaruYangu ni ndefu kulingana na jinsi ilivyotengenezwa, yako umechongesha
Nyinyi hamjamboYangu hali nzuri cjui nyinyi
Aisha jina la secretary wa office ya mkuu wa WilayaNyinyi huko kwenu wazima aisha
Nipo fit baada ya kutoka kumshukuru Muumba wangu kwa afya na ulinzi wake pamoja na mafanikio ya wiki nzimaNyinyi nyote ni washindani lakini mshindi nipo
Nipo hapa nawaona wote humu wazima wa afyaNyinyi nyote ni washindani lakini mshindi nipo
Kukuelewasha namna navyo kukubali ohhh sijuwi nitasemaje the black beautiful womani mwenyewe, kipenzi cha wengiHapa ni kisima cha elimu wanakuja kukuelewasha
Kwetu pia unakaribishwaHuko kama wazima nafurahi sana aisha wangu jamani karibu kwetu
Wengi wanajua kua blaki is biutifuli bana, that color usiseme sina machoKukuelewasha namna navyo kukubali ohhh sijuwi nitasemaje the black beautiful womani mwenyewe, kipenzi cha wengi
Wengi wanatamani ndoto zao zitimii lakini wanapaswa kujituma kwa bidiiKukuelewasha namna navyo kukubali ohhh sijuwi nitasemaje the black beautiful womani mwenyewe, kipenzi cha wengi
Unakaribishwa pia aisha, vipi nyumbani kwenu kuna mbwa mkaliKwetu pia unakaribishwa
Unakaribishwa chakula cha mchana kama upo karibu mkoa wa ManyaraKwetu pia unakaribishwa
Macho huona mengi na moyo hupokeaWengi wanajua kua blaki is biutifuli bana, that color usiseme sina macho
Macho hayana pazia mkuuWengi wanajua kua blaki is biutifuli bana, that color usiseme sina macho
Mkali sana Zaid ya wakwenu pia tuna tembo [emoji3]Unakaribishwa pia aisha, vipi nyumbani kwenu kuna mbwa mkali
Manyara unaishi wilaya gn blaki woman?Unakaribishwa chakula cha mchana kama upo karibu mkoa wa Manyara
Tembo[emoji13] [emoji13] hahaha naona una lengo la mimi kutokuja kwenu kuleta mahariMkali sana Zaid ya wakwenu pia tuna tembo [emoji3]
Blaki womani anaishi wilaya ya Manyara mkoa wa ArushaManyara unaishi wilaya gn blaki woman?