Kavu ni hatari kwa afya, mie nalala kesho niwahi majukumu. Muwe na usiku tulivu woote, ukimuona toxic9 mwambie nammiss, muage dem boy, Namge, Kituko, Mamaafacebook, Aisha, Ukhuty, ink, black women, jmgaya, Zz na wengine nlowasahau. Mlale salamaa woteeMchochezi wa kuni kule kijijini kwetu ndio maana bibi alikuwa ananipenda hata kuni ziwe mbichi nahakikisha zinawaka kama kavu
Kimya kingi kina mambo makubwaUkija kunichukua stand uambatane nao hata wawili me nitajiongeza kiume nitachagua kimya kimya
Yaani nisipomwona toxic9 kwenye huu uzi naona kama kunamapunguSasa jukwaa litanogaje bila ya upinzani kidogo stori hapa na pale hvyoo yaani
Mkuu pole kwa majukumu leo siku ilikuwa ya mchakamchakaKimya kingi kina mshindo mkuu
Mchochezi yeyote atachukuliwa hatua kaliYaani wewe ni mchochezi
Wotee wameitikia kwa upendo mkuu lala salama umwote umpendayeKavu ni hatari kwa afya, mie nalala kesho niwahi majukumu. Muwe na usiku tulivu woote, ukimuona toxic9 mwambie nammiss, muage dem boy, Namge, Kituko, Mamaafacebook, Aisha, Ukhuty, ink, black women, jmgaya, Zz na wengine nlowasahau. Mlale salamaa wotee
Umpendaye yupo huko anapumulia juu ya kifua cha mtuWotee wameitikia kwa upendo mkuu lala salama umwote umpendaye
Wote ukiwemo na wewe, kavu ni hayari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unafikiria mbali wewe me huko sipo dada, msalimie shemelaKavu ni hatari kwa afya, mie nalala kesho niwahi majukumu. Muwe na usiku tulivu woote, ukimuona toxic9 mwambie nammiss, muage dem boy, Namge, Kituko, Mamaafacebook, Aisha, Ukhuty, ink, black women, jmgaya, Zz na wengine nlowasahau. Mlale salamaa wotee
Mchaka mchaka haswa, Asantee mwayaa pole na wewe pia mkuuMkuu pole kwa majukumu leo siku ilikuwa ya mchakamchaka
Ampendaye bado hajazaliwaumpendaye ndiye ampendaye?
Kali sana kama za yule mbunge wa kaskaziniMchochezi yeyote atachukuliwa hatua kali
Mkuu haya nenda ukalale uwahi majukumu keshoMchaka mchaka haswa, Asantee mwayaa pole na wewe pia mkuu
Umpendaye naimani hajamboWotee wameitikia kwa upendo mkuu lala salama umwote umpendaye
Shemela hajambo, mbali wapi tenaa wewe hujawahi kula mkate mkavu?? Ni hatari kwa afya ya kooWote ukiwemo na wewe, kavu ni hayari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unafikiria mbali wewe me huko sipo dada, msalimie shemela
Koo LinazinguaShemela hajambo, mbali wapi tenaa wewe hujawahi kula mkate mkavu?? Ni hatari kwa afya ya koo
Kesho ni ijumaa, naenda lala mdogo wangu gbefa, nilikuwa nafunga milangoMkuu haya nenda ukalale uwahi majukumu kesho
Mtu gani zaidi yangu acha matisho weweUmpendaye yupo huko anapumulia juu ya kifua cha mtu
Milango ipi kuna milango mingi hujue[emoji85] [emoji85] [emoji85] au ile ya nyumba eenhee maana kuna milango mingine migumu kutamkaKesho ni ijumaa, naenda lala mdogo wangu gbefa, nilikuwa nafunga milango