T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,529
Saana tu hata mimi nimekumisslavuziLimeharibika tena, viboko vinakuhusu usisahau tumetumwa na kuni tatu.
Habarini za jioni wadungu poleni na majukumu mazito ya kujenga taifa letu, miss nyie saana
Nimekumisslavuz sijui ni lugha ya wapi hiyoSaana tu hata mimi nimekumisslavuzi
Hiyo hapo chini chukua maana umekuwa msumbufu kwa kweli hata ukatazwe vipi umeng'ang'ania tuNimekumisslavuz sijui ni lugha ya wapi hiyo
Usiokote uchafu utapata maradhiTu? Tupa usiokote
Usiokote tu mwanamke ukadhani umepataTu? Tupa usiokote
Umepata kujua yaliojili mikoaniUsiokote tu mwanamke ukadhani umepata
Mikoani ndo napoishi labda nyie huko wa jijiniUmepata kujua yaliojili mikoani
Jijini hapana ishu bora mkoaniMikoani ndo napoishi labda nyie huko wa jijini
Mkoani unazungumzia mkoa upiJijini hapana ishu bora mkoani
UPI? mkoa ni mkoa hasa kusiniMkoani unazungumzia mkoa upi
Back ni nyuma nimerudi mkuuMamaafacebook umemtupia wapi
Habari za wakati huu wakuu am back
Kusini sijawah kufikaUPI? mkoa ni mkoa hasa kusini
Limeharibika gari limezuia njia foleni kubwaFagio langu limeharibika
Kubwa sana siwezi kukuridhisha maana nina Njaa sana mkuuLimeharibika gari limezuia njia foleni kubwa
Sana sana mie nimekumic kweli umefanikiwa kupata vitabuLimeharibika tena, viboko vinakuhusu usisahau tumetumwa na kuni tatu.
Habarini za jioni wadungu poleni na majukumu mazito ya kujenga taifa letu, miss nyie saana
Nimekumisslavuzi ndio lugha gani mkuuSaana tu hata mimi nimekumisslavuzi
Kufika kunako kunahitaji ujuzi wa khali ya juu kwa kweli maana utalalamikiwa tu mwisho wa siku.Kusini sijawah kufika
Kufika kilele cha mt. Kilimanjaro unahitaji kufanya zoeziKusini sijawah kufika