Jumatatu njema kwako pia mkuu, me najianda kuingia katika chumba cha mtihani, mtihani wa somo la ugonjwa wa taifa Ila kwa Toxic9 ilikuwa maji ya kunywa tu enzi zakeWote humu ndani jamani wazimaa, miss nyie saana.
Toxic9 jamani sio kwa ukimya huo, gbefa piga hesabu, namge mambo, demboy habari za wewe na wengine wooote jumatatu njema
habarin za leo makupuku
Back to my fellow gbefa nikutakie Mtihani mwema ndugu yangu mpendwa best wishes to you, natarajia ufanye vizuri pachaWote hi\lpl0pp000p0\laa0lalalp0l0pppllppppppppl0pppp0pppp000000aaa00P[emoji148][emoji148][emoji772][emoji772][emoji774]
Zake enzi aliwakimbiza sana, kwa madai yakeJumatatu njema kwako pia mkuu, me najianda kuingia katika chumba cha mtihani, mtihani wa somo la ugonjwa wa taifa Ila kwa Toxic9 ilikuwa maji ya kunywa tu enzi zake
Shemeji ake mie habari za huko kwenyuNjema kwetu sote, niambie shemeji
Kwenu wazima dada ake mimiShemeji ake mie habari za huko kwenyu
Mimi mzima kabisa pamoja na familia yangu, namshukuru Mungu kwa kweliKwenu wazima dada ake mimi
Kweli nafurahi kusikia hivyoMimi mzima kabisa pamoja na familia yangu, namshukuru Mungu kwa kweli
Ishi upendavyo
Ahaaah... Unajua kapuku wakati nawasalimia nilikuwa natembea ndio maana ikawa hivyo kapuku.Makapuku, unakimbilia wapi andika kwa kutulia shehe, kweli wewe kapuku mwenzangu [emoji13]
Makapuku tupo shehe, napamba na hali yangu shehe, vipi huko kwenu mnatunyima nini hasaAhaaah... Unajua kapuku wakati nawasalimia nilikuwa natembea ndio maana ikawa hivyo kapuku.
Na muwe na mchana mwema makapuku.
Upendavyo wewe sio kuishi kwa kumfurahisha mwingineIshi upendavyo
Ishi kwa kumpendeza Mungu sio mwanadamu, maana wanadamu wamejaa usalitiHivyo ndivyo waungwana tunavyo ishi
Usaliti, majivuno, unafik na kibr vyote binAnadam anavyo lakini Mwenyezi Mungu hanaIshi kwa kumpendeza Mungu sio mwanadamu, maana wanadamu wamejaa usaliti
Kweli ukisikia kali ya mwaka ni hii ya mwanaume kubakwa na mwanamkeMimi mzima kabisa pamoja na familia yangu, namshukuru Mungu kwa kweli
Hana moyo wa fitina kabisa, Mungu utamkosea mara zote lakini ukapiga goti na kuomba msamaha basi atakusamehe,Usaliti, majivuno, unafik na kibr vyote binAnadam anavyo lakini Mwenyezi Mungu hana
Atakusamehe endapo tu utatubu kwel na utajisalimisha kwakeHana moyo wa fitina kabisa, Mungu utamkosea mara zote lakini ukapiga goti na kuomba msamaha basi atakusamehe,
Kwake kwa kila mmoja niwatakie jioni njema,Atakusamehe endapo tu utatubu kwel na utajisalimisha kwake