Wote tumekaribia pacha, ila sitashiba pachaumesahau kunikaribisha pacha karibu wewe sasa mwite gbefa,sakayo km bado yupo nyumbani,blaki womani sijui yuko wapi saa hizi,Aisha,mama fb najua hali hivi vya kimaskini,karibuni wote
Mwisho yani wa mwisho ndiyo kilazaFasta nimekula ili kumuwahi Wa mwisho ndiye mshindinisije kuwa wa mwisho.
umesahau kunikaribisha pacha karibu wewe sasa mwite gbefa,sakayo km bado yupo nyumbani,blaki womani sijui yuko wapi saa hizi,Aisha,mama fb najua hali hivi vya kimaskini,karibuni wote
Kabisa bbc ukame mkuu ndo kashasema chakula cha msaada hakuna sasa tusipogawana wenyewe kwa wenyewe maskini tutakufaWote tule chips, hakuna chakula kabisa!
Haya pacha lkn kitambi sio kizuriWote tunapenda chips, ila chips zangu zitanipa kitambi sio kwa mafuta haya
Kizuri cha kufanyia utapeli mtaani unaulambia unajifanya afisa afya wa mtaa,ukishapiga hela unasepa zako,Ila chakula hiki kizuri ka ladha na sura Ila utaona matokeo hasi wakati wa Yale mambo ya chini ya paa,kamoja kwisheneiiHaya pacha lkn kitambi sio kizuri
Mpole kweli kweli yaani sio utani dada anguKweli atafaidi sana mdogo wangu ni mtulivi na mpoleee
Wangu sasa umeamini kuwa simu ilikuwa aina chaji ndo narudi humu kama hiviMkuu simu ina chaji bado eh, endelea kutudanganya mdogo wangu
Sema kweli bhanah Toxic9 anakupenda Ila muongo muongo Fulani hiviKukuambia ukweli hajawahi sema
Kutafuta pesa sio tatizo tatizo kukosea kuoa hapa ndio kuna ubaya, kumbe wewe ni chaga wakina Manka dah hii safi sana na wachaga mlivyobarikiwa mnatoaga vitu adimu aaah hii chance siachi kamwe mkuu naomba basi niwe shemejiyo na sakayo apate wifi yake maana nimeangaika muda mrefu kweliWako imekuwaje mbona unamficha mdogo wako unataka mdogo wangu ndiyo nimpe gbefa basi akitaka nitampa, ila hujakosea kabila letu wakina manka wanataka mtu anayejituma kutafuta pesa
Angu kaka pole na kufuaMpole kweli kweli yaani sio utani dada angu
Hivi kumbe na wewe ushamshtukia eeehSema kweli bhanah Toxic9 anakupenda Ila muongo muongo Fulani hivi
Kweli mdogo wangu kamatia hapo hapo tuunganishe familiaKutafuta pesa sio tatizo tatizo kukosea kuoa hapa ndio kuna ubaya, kumbe wewe ni chaga wakina Manka dah hii safi sana na wachaga mlivyobarikiwa mnatoaga vitu adimu aaah hii chance siachi kamwe mkuu naomba basi niwe shemejiyo na sakayo apate wifi yake maana nimeangaika muda mrefu kweli
Eeeh me nimemgundua kitambo tu hapa namcheki tu anavyo....Hivi kumbe na wewe ushamshtukia eeeh
Familia tupange pamoja by "salama c*nd*m"Kweli mdogo wangu kamatia hapo hapo tuunganishe familia
Anavyo fanya nini lakinii mdogo wanguEeeh me nimemgundua kitambo tu hapa namcheki tu anavyo....
Fasta nimerudi bwana nililala kidogoUmesahau kunikumbusha mapema pacha, Weekend kweli, naibiwa hivi hivi ukimuona huko pacha msalimie sakayo mwambie arudi fasta
Haviendani hasa ukiwa una malengoHumewezi Aishah2016 ehh Namge mimi sakayo nitamweza tu, huwa sikatagi tamaa, sakayo atakuja nielewa tu, mapenzi na mkata tamaa haviendani
Sakayo alilala kidogo jamani, akili nayo yapaswa KupumzikaPacha siwezi kukuudhi banah, nimemiss sakayo
Umesahau kuwa nalalaga mchanaSakayo saa hizi sijui kapigiwa simu?wikend hii pacha umesahau!!!