Wa mwisho ndiyo mshindi

Vile vile haijalishi bajeti ipo kiasi gani, kama watu hawatofanya kazi kwa uhuru, hawawezi kufanya kwa ufanisi unaotakiwa maana watakua na uoga kwamba sijui nakosea...
Nakosea hii kauli hapana sio ya kipindi hichi, na anayesitasita atupishe sisi tufanye kazi, tunataka maendeleo ya kasi kubwa, uchumi unaongezeka kwa 7% sisi tunataka asilimia izidi hapo
 
Kuwinda wanyama mbugani taratibu zake ni zipi au unachukua gobole unajichagulia mnofu unao utaka
Unao utaka utaupata ila nahisi hakutakua na utaratibu maana mh.J ataruhusu kujichagulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…