goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Atakubariki pia kama ukimtimizia mkeo halali na o.g ule mchezo wetu mtamu wa kuspring kitandani.Laki 7 au millioni 2 mke wako unampa tu, ila kama sio mke basi acha mara moja, jenga familia yako na Mungu atakubariki.
Kitandani ni mahala pakufanya show za kibabe mkuuAtakubariki pia kama ukimtimizia mkeo halali na o.g ule mchezo wetu mtamu wa kuspring kitandani.
Mkuu mhh no commentKitandani ni mahala pakufanya show za kibabe mkuu
Jiko, wewe unaongea nini mashamba ya kyela ya mpunga ukikatiza aki ya mungu utaisi upo jikoni na unaweza kubaki Siku nzima ukisikilizia kaharufuMbeya pale mdogo wangu hakuna kitu nakipenda kama mchele wa mbeya, mchele wa kyela daahhhh, yani mchele ukiweka kwenye maji tu basi wanukia nyumba nzima, hapo bado hujaweka kwenye jiko
Bado kidogo nifikilie tofauti pia mkuu kwacha utazikuta tunduma border me kule haoanihusu panawahusu songwe wazee wa mkoa mpyaMkuu
Hujanielewa ndio maana nimesema ni mwendo wa kwacha ( fedha halali kwa malipo ya Zambia ) na tshs: ( fedha halali kwa malipo ya Tanzania ) unaitupa kule au mkuu nimeongea maneno ya mafumbo sana huenda lugha zetu za mitaani hujazisoma bado.
Comment on why Tanzania we are still apoor country but enrich with alot of resources such as minerals, natural resources, ports, tourism attractions eg mountain kilimanjaro [emoji558]Mkuu mhh no comment
Mamaafacebook nimerudiJf ni bomba kuliko Facebook ya mamaafacebook
Yupo kajaaa teleMamaafacebook yupo?
Tumseme aliejivika madaraka ya kua mkeo me nimeyakuta tuYupo anakuulizia daily my dear, jana kaja na hoja ya kusema ndoa yetu imeingiwa na kidudu mtu, mamaafacebook aje tu tumseme
Rich!! Refer to my post, i aint just said only mountain kilimanjaro can enrich our country though it contributes alot of foreign currency to our country and GDP so to say , try to read before you spokeKilimanjaro mountain only cannot make us rich
Nimeyakuta tu haya mambo hats sijui yanatoka wapi na nani alianzisha...Tumseme aliejivika madaraka ya kua mkeo me nimeyakuta tu
Nimerudi kabaaaaah mtoto unajificha siku hizi, ni show za kibabe zimekuficha mtu wanguMamaafacebook nimerudi
Lonely me pia nipo usinirushe rohoNimeyakuta tu haya mambo hats sijui yanatoka wapi na nani alianzisha...
Sakayoooooooo miss youuu uko wapi wangu kipendacho roho am lonely
Wangu hapana najikuta napoteza ham na jf Thu na kutingwa mnooNimerudi kabaaaaah mtoto unajificha siku hizi, ni show za kibabe zimekuficha mtu wangu
Tuu mzima lakini mamaafacebook mutu ya watuTumseme aliejivika madaraka ya kua mkeo me nimeyakuta tu
Watu ukiishi nao vizuri watakupenda na kujufurahia daima me mzima nashukuru Leo kaniita goldie inkTuu mzima lakini mamaafacebook mutu ya watu
goldie ink umempelekapi shemeji yangu KitukoWatu ukiishi nao vizuri watakupenda na kujufurahia daima me mzima nashukuru Leo kaniita goldie ink
Lonely nyimbo moja nzuri sana ya akon, mwite sakayo kwa sauti hata mimi nataka nimuone hapa muite tu atakuitikia maana huwa ana sense ukimuita,Nimeyakuta tu haya mambo hats sijui yanatoka wapi na nani alianzisha...
Sakayoooooooo miss youuu uko wapi wangu kipendacho roho am lonely