Wa mwisho ndiyo mshindi

I miss you more more more haina mfano jamani dia, ulienda wapi mpaka kituko anakuita kweli, na kwanini ni kituko tu ndiyo ana namba zako? Nami nazitaka ili niwe nakuita watu wakikumiss
Wakikumiss na wewe ntafanyaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nawapenda sana so kwa mahaba haaya hahahahahahahaha ntakupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…