Wa mwisho ndiyo mshindi

Namna siku zinavyokimbia kesho tu tunamaliza mwezi Januari , kasi ya ajabu 2017 huo mbio, ngoja nikutakie heri ya mwaka mpya2018 in advance if God wishes
If God wishes tutakuwa pamoja mpaka mwisho wa pumzi zetu, either nianze mimi au wewe
 
Malengo yako yanabidi ya akisi uhalisia, yani usiweke malengo makubwa yasiyo endana na kasi yako all in all God is GOOD atatuwezesha tukijiwezesha
Tukijiwezesha hamna linaloshindikana kakake mie, hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…