Wa mwisho ndiyo mshindi

Gbefa jina lenye maana kubwa sana kwa wakati wangu wa ujana daima nalikumbuka na kuliishi ili nisipoteza kile kilichotokea 2012-2016
 
Mkuu avatar iliyopita imenichosha kwa kweli naonekana mtoto au kijana ambaye sijutambui
Sijitambui au hujitambui mkuu avatar kwa kweli husema sie ni akina nani hata kama twatumia majina feki, hongera kwa kuliona hiloo
 
Avatar hii sijui na yenyewe nitoe tu niweke ya uongo kama ya sakayo Ila ya Aisha2016 hii yako ya kweli kama yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…