Baba in the kitchen nipikie ndizi samakiChakula gani unapenda leo nikupikie ndizi mchemsho samaki kodogo, wali maharage nazi, wali njegere rojo, wali maini, kuku choma na chips[emoji489], pilau kuku, mimi naingia jikoni mwenyewe leo, mwaka tuanze hivi baba in the kitchen
Samaki jodari ana minofu kuliko samaki tasiBaba in the kitchen nipikie ndizi samaki
Samaki tasi hapa.... Atumie satoSamaki jodari ana minofu kuliko samaki tasi
Sato nafikiri ndo kiboko yao kwa minofuSamaki tasi hapa.... Atumie sato
Wengine mpo wap njoon tujumuike hukuMinofu yake huwezi kulinganisha na samaki wengine
Huku siku maalum kama ya Leo watu hukukimbia maana huwa bize na wapenzi waoWengine mpo wap njoon tujumuike huku
Taifa lenyewe limevurugwa nani atalinufaishaWao ubusy wanaufanya kwa manufaa bnafsi au ya Taifa?
Sheria haina nguvu mbele ya pesaAtalinufaisha basi anayetaka awe yeye ndiyo polisi,mahakama,na kila kitu katika utawala wa sheriA
Wakuu kumbe mwaka mpya umeanza leo!Uchwara mtupu mwaka Jana hebu tuone mwaka huu wakuu
Leo yenyewe hali ya hewa kama Jana tuWakuu kumbe mwaka mpya umeanza leo!
Jana tu kulikuwa na jua ila leo tumeupokea mwaka na baraka za mvuaLeo yenyewe hali ya hewa kama Jana tu