Kutudanganya kiboya nyie wanawake mmezidi, utasikia baby mama anaumwa anatakiwa kufanyiwa operation inahitajika kama laki nne hivi kumbe mama mkwe mzima kabisa wala haumwi ahhhhkkkkWanaongoza na kutudanganya
Wewe ni kabila gani vile, maana unaongea kwa kujivutaaaaaa kama sio mtanga wewe basiiiiNani anaongelewa kama sio wewe
Mwaka mpya hata mimi nitakuja my dear, we miss you umepoteaaaaa jamanimamaafacebook nimekumic karibu nyumbani mwaka mpya
Sijamsikia Atug akikiriAkawika wapi mie sijamsikia
Ahhhkkkkkk wajinga ndio waliwao mapenzi ya kweli hayaangalii pesaKutudanganya kiboyo nyie wanawake mmezidi, utasikia baby mama anaumwa anatakiwa kufanyiwa operation inahitajika kama laki nne hivi kumbe mama mkwe mzima kabisa wala haumwi ahhhhkkkk
Basiiii nikwambie me mtanga haswaaaWewe ni kabila gani vile, maana unaongea kwa kujivutaaaaaa kama sio mtanga wewe basiiii
Mwaka mpya nitakuwa tanga hotel pale nikicheza old is gold kitu kama rangi ya chungwa nk naomba uje bila kukosaMkamatie jogooo tumchinjie tuhserehekeee heri ya mwaka mpya
Sana sana my black womani natamani siku niende kumtembelea kwake ingawa ni mbali kama anavyosemaBlaki Womani anaishi Manyara na TA mbali sana
Kukosa nitakosa me sio wa mambo hayoMwaka mpya nitakuwa tanga hotel pale nikicheza old is gold kitu kama rangi ya chungwa nk naomba uje bila kukosa
Ujue manfongo kaimba ukuda yani hakunaga ushemiji tunakulaga tu... Napenda mdundo tu ila sio maudhui ya wimboLeo zamu yako kwa shemejio unanichanganya ujue
Mambo hayo waachie watanga,watakuvunja kiunoKukosa nitakosa me sio wa mambo hayo
Eehhhh ila tuache utani pamoja na wanawake kuwa watata ila huo utamu ambao mnao ni hatariousHunijui leo eee...
Kiuno hakivunjiki na mis mwemyewe mtanga vilevile but very decent hizo Mambo me sifanyagi za kuruka majokaMambo hayo waachie watanga,watakuvunja kiuno
Mkali mithili ganiTahadhari kwetu Kuna mbwa mkali
Wats up wa kwetu, upogo gbefa??Boy what's up!?
Nani kama mama, my mama banahKiboko Yako n nani
Kijana, usituvunjie heshima, hata kama haina ushemeji, mimi Ushemeji upo na ni mtu wa maadiliShaka huamini kama mamaafacebook ni wako wa maisha, kaza buti kijana
Mkuu nipe gwala wewe wewe ndiyo mchizi wangu, nipe gwala tusiwaharibie mamaafacebook, kituko, atug, blacki womani, gbefa, minji, supermarket, Ukhuty,a.rahabu wote ni wachizi wetuDem boy bado sija stick na ishu maalum naunga unga bado kidogo napambana na elimu mkuu
Pesa pesa sabuni ya roho, jidanganye usipende pesa acha mimi nizipendeAhhhkkkkkk wajinga ndio waliwao mapenzi ya kweli hayaangalii pesa
Haswaaaa unajuwa mengi sana sekta ya mahabaBasiiii nikwambie me mtanga haswaaa