Zinachangia wanaume kuwa wa babe ahhhh mila gani hizo sweetheart, you know you might be right or wrong, labda kabila la Kimasai ambao mpaka hivi leo wana mfumo dume, lakini sio kama ilivyokuwa zamani sahivi ukatili umepunguaWanafanyiwa ukatili kutokana na roho mbaya na ubabe wa wanaume wa kule na mila na desturi zinachangia
Wanawake wapo ambao siku hizi wantoa kichapo kwa waume zao, dunia imebadilika sanaMara ndiyo mkoa unaoongoza kwa ukatili wa wanawake
Sana sana kama mwanaume ni mlevi ndiyo atatembezewa kuchapo na mke wake ambaye atakuwa amechoka matendo ya mumewe.Wanawake wapo ambao siku hizi wantoa kichapo kwa waume zao, dunia imebadilika sana
Mkubwa na wanawe wanatarajia kutoa hit song mwisho wa mwaka, song litakalo fungia mwaka yamoto walipotea sana vijana wanguChanzo kikuu ni wafugaji. Hawa wanatumia Mali zao kuwahonga viongozi wa mtaa ili wavamie maeneo ya wakulima. Chanzo kikubwa ni serikal kushindwa kutenga maeneo ya wafugaji na kushindwa kutoa elimu ya ufugaji Wa kisasa. Mifugo kidogo uzalishaji mkubws
Umepungua kwa kiwango gani sweetheart? Na mila hizi dear still zipo,ukiwa mjini and unazungukwa na civilized people huwezi jua... But psycally,sexually and emotionally bado watu wanakuwa abused and esp women.. Japo wanaume nao wapo wanaofanyiwa hayo but sio kwa kiwango kikubwaZinachangia wanaume kuwa wa babe ahhhh mila gani hizo sweetheart, you know you might be right or wrong, labda kabila la Kimasai ambao mpaka hivi leo wana mfumo dume, lakini sio kama ilivyokuwa zamani sahivi ukatili umepungua
Wafugaji wenyewe na baadhi ya viongozi ndiyo vyanzo vikuu migogoro kati ya wafugaji na wakulima, yule jamaa alipigwa mkuki anaendeleaje??Watanzania tunapendana tatizo ni viongozi kuhodhi maeneo bila kuyaendeleza hivo wataifishwe halafu wapewe hao wafugaji
Kaimarika vizuri wapi? Usicheze na kuchanwa ulimi na mkuki kutokea upande wa pili. Hawezi kuwa amepona kwa haraka hivi.Anaendeleaje??? Unauliza Leo wakati jamaa kapona na kaimarika vizuri
Hivi jamaa anafikiri ni kitu cha kupona haraka ehhh, mwambie banah, yule jamaa atapona kwa shida sana ule mkuki usifanye mzaha ulizama ukatokea shingoni, ila kuna watu ni makatili aiseehKaimarika vizuri wapi? Usicheze na kuchanwa ulimi na mkuki kutokea upande wa pili. Hawezi kuwa amepona kwa haraka hivi.
Wabrazili walifungwa 7-1 na Ujerumani, na wakakubali kipigo, sasa nyie hii race hapa, kubalini mimi ndo mshindi.. Msi-reply tenaAiseee! Kumbe jamaa aliumizwa kiasi kile? Mkuki ulizama as if ni movie ya ecalypto iliyochezwa na wabrazili
Tena jaribu kuangalia hizi records uone wabrazili walivoburuzwaWabrazili walifungwa 7-1 na Ujerumani, na wakakubali kipigo, sasa nyie hii race hapa, kubalini mimi ndo mshindi.. Msi-reply tena
Kisasi cha kuviziana sio kabisa, mnaviziana hakuna amaniTena jaribu kuangalia hizi records uone wabrazili walivoburuzwa
1999 : Brazil 4-0 Germany
2002 : Brazil 2-0 Germany
2004 : Brazil 1-1 Germany
TOTAL = BRAZIL 7-1 GERMANY
MWAKA 2014
Brazil 1 - 7 Germany. Tambua kuwa hicho kilikuwa ni kisasi
Mtu mwingine kachomwa mkuki wa kichwa jana. Nimemsikia Ridhiwani asubuhi hiiAmani ni jina la mtu