mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Ulaya Kuna nnHaya haya tu hata kama ukiwa ulaya
Ulaya Kuna nnHaya haya tu hata kama ukiwa ulaya
Tuuuuuuh!!! Endelea kuotaUmenikamata kwa kweli mamaafacebook maana si kwa mahaba haya niliyonayo kwako kwa kweli.
Naota tu
Kuota tayari nimeota na nimeshakuwa tayari kwa matumuzi ya binadamu mamaafacebookTuuuuuuh!!! Endelea kuota
Kabisa inategemea na kuota ganKuota bila mbolea ni hasara kabsa
Mamaafacebook nasema umekua tayari kwa matumizi ya binaadam ila sio kwangu mimiKuota tayari nimeota na nimeshakuwa tayari kwa matumuzi ya binadamu mamaafacebook
Mimi tayari nimemalizaMamaafacebook nasema umekua tayari kwa matumizi ya binaadam ila sio kwangu mimi
Nimemaliza kukujibu ulichomaliza kukisemaMimi tayari nimemaliza
Kukisema bado sijakisema mamaafacebook sababu usiku sanaNimemaliza kukujibu ulichomaliza kukisema
Atakupenda kama utamwambia moyo wako ulivyomdondokeaKukisema bado sijakisema mamaafacebook sababu usiku sana
Nitamalizia kusema kesho asubuhi maana bado naendelea kuota ndoto za atanipenda
Ulivyomdondokea moyo wangu tayari anajua ila kilichobaki ni yeye tu kuchukua maamuzi magumu.Atakupenda kama utamwambia moyo wako ulivyomdondokea
Magum maamuzi kuyachukua iwapo anatambua hisia zako jeeeeee ulishamfungukia?Ulivyomdondokea moyo wangu tayari anajua ila kilichobaki ni yeye tu kuchukua maamuzi magumu.
Ulishamfungukia moyo wangu ndiyo saba kila dalili za kumpenda yeye na kumuhitaji aje kuwa mke wangu kipenzi mtarajiwa nimezionyesha tayari kwake ila tu ni mgumu wa kuelewa.Magum maamuzi kuyachukua iwapo anatambua hisia zako jeeeeee ulishamfungukia?
Kabisa nilithubutu hivyo kwa sabab yeye ndie chaguo la moyo wanguUliishamfungukia mpaka moyoni mwako kabisa?
Kuelewa atakuelewa kazana kiume Kwan yupo humu jamiforums?Ulishamfungukia moyo wangu ndiyo saba kila dalili za kumpenda yeye na kumuhitaji aje kuwa mke wangu kipenzi mtarajiwa nimezionyesha tayari kwake ila tu ni mgumu wa kuelewa.
Wangu mkubwa kweli na unapendwa na wengiKabisa nilithubutu hivyo kwa sabab yeye ndie chaguo la moyo wangu
Jamiiforums ndiyo yumo humu humu na ananichora tu muda huu maana hajalala japo aliniaga kuwa anausingizi anataka alale.Kuelewa atakuelewa kazana kiume Kwan yupo humu jamiforums?