Hiyo ya kuja kujipikilisha sie wageni sio mpango kabisa yani, fanya utaratibu wa kupata wapishiAti utakuwa kwa dar ahh basi x-mass itaenda vizuri wachaaa, ila siwezagi kupika chakula cha wengi, sasa mje hakuna namna mpike wakina mamaafacebook, sakayo, gbefa, supermarket, mzee wa T 199O ElY, black womani, zamaulid,rahabu x mass hiyooooo
Wapishi wazuri ni wanawake wa kisukuma tu hapa TanzaniaHiyo ya kuja kujipikilisha sie wageni sio mpango kabisa yani, fanya utaratibu wa kupata wapishi
Mnaonaje kila mtu akija aje na Name tag kwenye nguo aliyoivaa ili tujuwane kwa jf user [emoji185] id, halafu from there ndiyo tuambiane real names[emoji13] [emoji13]Hiyooo itakuwa bonge la mualiko au wakuu mnaonaje
Wapishi ni sisi banah sakayo, wewe sakayo ukikamata bakuri la kachumbari ukikatakata mbona mpango sana hahahahah, uchumi huu nianze kuleta wapishi wakati black womani yupo, atug, mamaafacebook, Ukhuty ahhhh banahHiyo ya kuja kujipikilisha sie wageni sio mpango kabisa yani, fanya utaratibu wa kupata wapishi
pana ukilinganisha na nini?Bhana I say baby pana
Mpendwa utakaye subutu kuqoute utakuwa umenipa ushindiTena baby nimekumis umeamkaje kwanza mtumishi wa Mungu, huko kwenu wazima mpendwa
Ushindi chukua wewe mkuuMpendwa utakaye subutu kuqoute utakuwa umenipa ushindi
Ushindi unatafutwa kwa udi na uvumbaMpendwa utakaye subutu kuqoute utakuwa umenipa ushindi
Uvumba ndo niniUshindi unatafutwa kwa udi na uvumba
Nini kinaendeleaUvumba ndo nini
Banah weee lazima tupike kila aina ya chakula huna haja ya kuleta wapishiWapishi ni sisi banah sakayo, wewe sakayo ukikamata bakuri la kachumbari ukikatakata mbona mpango sana hahahahah, uchumi huu nianze kuleta wapishi wakati black womani yupo, atug, mamaafacebook, Ukhuty ahhhh banah
Never forget us, because we make this game goKinaendelea taratibu hiki kimchezo hadi tutazeeka nina imani tu kuwa salama, God never forget us
Go kwa lugha ya taifa ni nendaNever forget us, because we make this game go
Nenda wewe kama unaona rahisi... kwanza kwa lugha ya taifa lipi?Go kwa lugha ya taifa ni nenda
Jpm au samaki bora tu samaki jamaniiNenda mwanza uje na samaki au Jpm
Lipi ulowaza weweNenda wewe kama unaona rahisi... kwanza kwa lugha ya taifa lipi?