supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Taarifa ya habari ITV sijui imeshaanza tayariDisco mlangoni hapo kuna kelele mimi nipo huku naangalia taarifa ya habari mwandishi lihundi kaachiwa kwa dhamana ni habari iliyowagusa watu wa Arumeru, sasa baby hapo upo na nani, njoo huku tuangalie wote taarifa ya habari
Gani kwa kweli sasa yupo huru kwa dhamanaAmedhaminiwa kiasi gani
Lema yupo uraiani tutajumuika nae kwenye skukuu ya chrismassDhamana yenye masharti magumu kama ya lema
Daaaah! Bahati mbaya kila.mtu anamaumivu yake sikukuu hiiChristmas ya mwaka ngumu kweli aisee hela hakuna nialikeni bhasi dah!
Rangi bora kwangu mimi napenda whiteKiboko paints rangi bora
Mno sababu mtu anaependa white ana sifa ya usafiWhite hata Mimi inanivutia mnoo
Shari kamili bado haijatimia sasa hivi ni shari kasoroboBora nusu Shari kuliko Shari kamili
Siku nzima nilikuwa nafanya mazoezi ya kukimbia kutoka kariakoo mpaka mlandiziKasorobo itimimie siku nzima
Dar es salaam stand upMlandizi ni nje kidogo ya Dar
Stand up sit downDar es salaam stand up