mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Juu kuna paa lililoezekwaKunijuza namna ulivyo lala itaamsha engine basi hii mida nikuage nilale maana mfumo wa fahamu ni wa hali ya juu
Juu kuna paa lililoezekwaKunijuza namna ulivyo lala itaamsha engine basi hii mida nikuage nilale maana mfumo wa fahamu ni wa hali ya juu
Humu umeingia mida hii ulikuwa wapi banah wewe kigogo wa serikaliNani kataja jina langu humu
Lilowezekwa kwa mithili ya marinda marindaJuu kuna paa lililoezekwa
Liloezekwa kwa mithili ya marinda marindaJuu kuna paa lililoezekwa
Mambo ya kikubwa amaHumu kuna mambo
Why why upo alone mpaka mida hiiMoja haikai mbili haikai tatu haingii hata nne haisogei - dataz nyimbo inaitwa why
Mambo kemkemHumu kuna mambo
ama kweli dunia imejaa vitukoMambo ya kikubwa ama
Marinda ya sketi kipindi nasoma yalinipa tabu kuyapiga pasiLilowezekwa kwa mithili ya marinda marinda
Vituko kama vya zwengeama kweli dunia imejaa vituko
Ama n alama ya mshangaoMambo ya kikubwa ama
Hii ni mida ya wangaWhy why upo alone mpaka mida hii
Kemkem unamaanisha nnMambo kemkem
Vituko kama vipiama kweli dunia imejaa vituko
Pasi ya mkaa ndiyo pasi iliyonipa mimi kijana msafi shule nzima kipindi hichoMarinda ya sketi kipindi nasoma yalinipa tabu kuyapiga pasi
@zwege ndabaVituko kama vya zwenge
Mshangao ni pale napo fumaniaAma n alama ya mshangao
Hicho ulichoshika niniPasi ya mkaa ndiyo pasi iliyonipa mimi kijana msafi shule nzima kipindi hicho
Fumania Ila usiombe kufumaniwaMshangao ni pale napo fumania
Vipi tukipatoka hapa tuhamie chembaVituko kama vipi