Podo au kodoNdiyo nakuaga basi, nikutakie usiku mwema, macho podo
Mitego anayo neyHayupo ohh kumbe mume huna, kumbe bado vijana tunaruhusiwa kutupa mitego
Ati hujalala? Umeenda kwa mangi dukani ndiyo unarudi, akyanani mangi ni kibokoHapa kwa wenyeji ati
Cool tena maituongeleshe vizungu usiku huu tumeshachoka wengineUkhuty mke wa mtu me namuheshimu sana huyu Dada halafu she is very cool



hulailiCool cold water aka UkhutyUkhuty mke wa mtu me namuheshimu sana huyu Dada halafu she is very cool
Kodo ndiyo, ila podo ni neno la msimuPodo au kodo
Ney bwege tu, kipaji chali, darasa ndiyo mfalme aliyeiteka dunia ndani ya dakika mojaMitego anayo ney
Owwwh asante Kwa kunijuzaKodo ndiyo, ila podo ni neno la msimu
Show off? Ambao wanazo n kina nanUkhuty such a beautiful gal with no show off
Kupatikana kwa mamaafacebook mida hii anatia hamu wazee hapa, muda huu wa usiku tunawaza amevaajeMsimu wa mvua mwaka huu umekaa vibaya mwakani chakula kitakuwa shida kupatikana
Moja haikai mbili haikai tatu haingii hata nne haisogei - dataz nyimbo inaitwa whyNey bwege tu, kipaji chali, darasa ndiyo mfalme aliyeiteka dunia ndani ya dakika moja
Kupatikana kumekua n Shida kuanzia mwaka huu unga wa sembe umepanda maradufuMsimu wa mvua mwaka huu umekaa vibaya mwakani chakula kitakuwa shida kupatikana
Humu kuna mamboNani kataja jina langu humu
Kunijuza namna ulivyo lala itaamsha engine basi hii mida nikuage nilale maana mfumo wa fahamu ni wa hali ya juuOwwwh asante Kwa kunijuza