Wa mwisho ndiyo mshindi

Zika ni nn
Nini zaidi ya maelezo haya mafupi.
Homa ya Zika ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kijulikanacho kama “Zika Virus.” Na Ugonjwa huu unaenezwa na mbu aina ya Aedes ambaye huwa ana tabia ya kuuma asubuhi na pia nyakati za mchana/jioni. Aina hii ya kirusi ipo katika familia ya (Flavirus) ambapo pia vipo virusi vya ugonjwa wa dengue, Homa ya Manjano (Yellow Fever).

Mbu huyu anazaliana katika maji yaliyotuama hasa kwenye vyombo vya nyumbani, makinga maji ya paa za nyumba, matairi ya gari, ndoo, makopo nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…