supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Jamani supermarket karibu zote zinauzwa asali za bibi..sokoni zipo zile asali ambazo juu wanaweka nyuki mmoja zionekane bora kutoka kwenye mzinga ni safiAsali Original zinauzwa wapi natafuta jamani
Safi kuliko zile za dukaniJamani supermarket karibu zote zinauzwa asali za bibi..sokoni zipo zile asali ambazo juu wanaweka nyuki mmoja zionekane bora kutoka kwenye mzinga ni safi
Dukani hakuna hizo unazotaka wewe labda uende kwa waziri mkuu mstaafuSafi kuliko zile za dukani
Mstaafu hata babangu ni mstaafu piaDukani hakuna hizo unazotaka wewe labda uende kwa waziri mkuu mstaafu
Pia na yeye ni mmoja wa wastafu alie jikita kwenye kilimo cha asali sizani kama baba yako ni mkulimaMstaafu hata babangu ni mstaafu pia
Ni mkulima na mfugaji ila ufugaji ka unamshinda vilePia na yeye ni mmoja wa wastafu alie jikita kwenye kilimo cha asali sizani kama baba yako ni mkulima
Hitaji lako linaweza malizwa kama ukiwa na uchaguzi sahihi ni aina hipi uliyokuwa una hitajiPia mm nazihitaji
Utalimaliza hukohuko kwenye kikao mlipoitwa sababu naskia pia atakuja na yeyeHitaji langu nadhan utalimaliza
Nahisi usingizi mie, niwatakie usiku mnono wenye ulinzi wa MunguYeye hakuwa na njia nzuri nahisi
Mungu akuamshe salama na afya, panapo majaaliwa keshoNahisi usingizi mie, niwatakie usiku mnono wenye ulinzi wa Mungu
Jukwaa ndio lenyewe hujapotea, karibu kwenye kiti upate kinywajiNahisi nimepotea jukwaa
Kinywaji gani kizuri kwa muda huuJukwaa ndio lenyewe hujapotea, karibu kwenye kiti upate kinywaji
Muda huu kunywa maji kabla ya kulalaKinywaji gani kizuri kwa muda huu
Kulala sasa mi bado maana nililala toka SAA kumi na moja mpaka SAA tatu kwaiyo mi badoMuda huu kunywa maji kabla ya kulala
Kulala sasa mi bado maana nililala toka SAA kumi na moja mpaka SAA tatu kwaiyo mi badoMuda huu kunywa maji kabla ya kulala