Wa mwisho ndiyo mshindi

Mchezo wa Kabadi ndo mchezo gani..?? Maana nimeusikia mara nyingi.
Mara nyingi nafahamu umeshauona mchezo wa rugby mnatumia nguvu zote na maarifa kuufikisha mpira kwa wapinzani kuvuka mstari. Sasa kabadi unatakiwa utamie nguvu yako(wewe mwenyewe sio mpira) uuvuke/hataa uuguse kwa mkono mstari wa wapizani wakati wamejipanga wanakusubiri adui. Mchezo huu miaka mingi asili yake unachezwa na wahindi
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…