Hapa nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi alitangulia mbele za hakiUtani uliezoea kutaniana na rafiki yako ukikumbuka unazidi kuumia, tumshukuru Mungu ametupa uwezo wa kusahau sababu kama ingekuwa mauvu tunayoyapata ni kama siku ile ya msiba tusingekuwa hapa
Msiba jmn Polen sana mlofiwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]....mimwenyewe nilifiwa na mzee wangu lakini nilipo achwa nililia marambili ya msiba
Kuachwa kunapoa ila maumivu ya msiba hayapoi ndugu
Wataniane wakat wenzao wana huzuniutani msiban upo tena kuna makabila lazima wataniane
Mbele za haki Mungu ailaze roho ya marehemu peponiHapa nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi alitangulia mbele za haki
Hapa Leo tukumbuke wapendwa wetu walotangulia mbel za haki
Mlofiwa poleni mungu awatie nguvuMsiba jmn Polen sana mlofiwa
Mlofiwa jmn tuwaombee dua wazazi wetu vipenzi na ndugu zetu walotangulia mbel za hakiMsiba jmn Polen sana mlofiwa
Mbele za haki Mungu ailaze roho ya marehemu peponi
Peponi apumzike kwa amaniMbele za haki Mungu ailaze roho ya marehemu peponi
Atutoke baba maskini pole sana mkuuMinaanza na baba yangu mzaza marehem mzee Malima nimiaka 17 sasa tangu atutoke
Huzuni yaweza kuuwaWataniane wakat wenzao wana huzuni
Kaburini kunatisha haswa ukiwa ulielemea duniaPeponi na atuepushe na adhbu ya kaburini
Kusahau kupo ila kuumia hakuishiNdugu binadamu tumeumbiwa kusahau
Amani itawale makazo yaoPeponi apumzike kwa amani
Kaburini tuwe na kawaida ya kuenda kuwaombea ndugu na jamaa, na hata kuweka kaburi lake katika hali ya usafiPeponi na atuepushe na adhbu ya kaburini
Kuua ni zambiHuzuni yaweza kuuwa
Mkuu acha tu msib usikie kwa mwenzioAtutoke baba maskini pole sana mkuu