Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Pili+pili=pilipili
pilipili ikichanganywa na giligilani inazidisha hamu ya kula
Pili+pili=pilipili
Kula vzr lala vzrpilipili ikichanganywa na giligilani inazidisha hamu ya kula
Kula sana ikiwa uwezo wa kula unao, pia unaweza kufanya diet kwa afyapilipili ikichanganywa na giligilani inazidisha hamu ya kula
Lala vizuri ukiwa umeunyoosha mgongoKula vzr lala vzr
Kula sana ikiwa uwezo wa kula unao, pia unaweza kufanya diet kwa afya
Afya bora kwa kila mtanzania ni ndoto za alinachaKula sana ikiwa uwezo wa kula unao, pia unaweza kufanya diet kwa afya
Lala vizuri ukiwa umeunyoosha mgongo
Afya bora kwa kila mtanzania ni ndoto za alinacha
Kuchua Bila mazoezi ni buremgongo unauma ukiketi kwa muda mrefu inabidi kupata dawa ya kuchua
Ulizisoma ukiwa darasa la ngapalinacha alikuwa na hadithi nzuri wewe ulizisoma
Kuchua Bila mazoezi ni bure
Wanunua Bila risitibure siku hizi imekwisha kila kitu wanunua
Wananunua kwa bei nafuu sana, bidhaa zipo nyingi sana bei ipo chinibure siku hizi imekwisha kila kitu wanunua
Risiti siku hizi utoe na mashine ya EFD ili usitumbuliwe jibuWanunua Bila risiti
Jipu bado halijaivaRisiti siku hizi utoe na mashine ya EFD ili usitumbuliwe jibu
Halijaiva bado teketekJipu bado halijaiva
Teketek ni hali ya ulainiHalijaiva bado teketek
Ulaini wa sambusa na chapati inaonekana chakula hakijaivaTeketek ni hali ya ulaini
Hakijaiva sababu kilipikwa kwenye moto mdgUlaini wa sambusa na chapati inaonekana chakula hakijaiva
Mdogo mdogo nilitembea tembea bara na visiwani, vile nikajionea mwendo wa my number one, natamani kukupa japo sina, nimejaliwa upendo heshimaHakijaiva sababu kilipikwa kwenye moto mdg
