Wa mwisho ndiyo mshindi

Uji nilikunywa sana wakati nasoma advance tena na maandazi ikifika saa 7 lazima utafute bweni ukadoji usingizi wa kutosha
 
Nguvu za kiume mpk chocolate aisee ngoja nipunguze ulaji wa chocolate.
Chocolate inasaidia kuongeza stamina kwenye kufanya mapenzi kwasababu ina viambato vya phenylethylamine na alkaloid. Phenylethylamine ni kiambato kinachopelekea kujisikia vizuri, hasa wakati wa kufanya mapenzi na alkaloid huongeza stamina na nguvu wakati wa mapenzi.[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…