Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kweli nikama vititiri hivi au unazungumzia kupe.......?Za kizungu ni mashine... But kiroboto nae muongelea ni kidudu kidogo anaruka mara nyingi utawapata kwenye mbwa ambao hawaogeshwi na kupatiwa dawa au kuku. Kufyonza damu. Na akimng'ata binadamu ile sehemu huwasha kweli
Kupe ni mdudu mwingine pia. Kiroboto anataka kufanana ni vititiriKweli nikama vititiri hivi au unazungumzia kupe.......?
Vititiri vimepata soko huko china, maana nasikia wachina wanakula kama kitoweo ?!!Kupe ni mdudu mwingine pia. Kiroboto anataka kufanana ni vititiri
Kitoweo kwa wachina hadi konokono wanakulaVititiri vimepata soko huko china, maana nasikia wachina wanakula kama kitoweo ?!!
Wanakula wenye njaa mie silagi ispokuwa vya kuchinja....!!!Kitoweo kwa wachina hadi konokono wanakula
Kuchinja siwezi hata kuku nashindwaWanakula wenye njaa mie silagi ispokuwa vya kuchinja....!!!
Nashindwa kumuelewa Mwalimu mkuu, japo nimetimiza masharti......Kuchinja siwezi hata kuku nashindwa
Masharti utakuwa umeyakiukaNashindwa kumuelewa Mwalimu mkuu, japo nimetimiza masharti......
Umeyakiuka kwa sababu hujataka kujua anachokitakaMasharti utakuwa umeyakiuka
Anachokitaka mwanadamu ni siri ya moyo wakeUmeyakiuka kwa sababu hujataka kujua anachokitaka
Moyo wake unaumia kukuona umepata mafanikioAnachokitaka mwanadamu ni siri ya moyo wake
Juhudi zako ndio mtajiMafanikio kila mmoja atapata kutokana na alikupangia Mungu plus juhudi zako
Mtaji wa kuwekeza katika viwanda inahitaji Benki ikudhamini......Juhudi zako ndio mtaji
Ikudhamini na wewe ukiwa na accets za maanaMtaji wa kuwekeza katika viwanda inahitaji Benki ikudhamini......
Ikudhamini kwa mkopo mkubwa, wajasiriamali wengi wanaogopaMtaji wa kuwekeza katika viwanda inahitaji Benki ikudhamini......
Maana uwe umejipanga kila sektaIkudhamini na wewe ukiwa na accets za maana
Wanaogopa kwa kuwa haajiamani.... Jee mimi na wewe na Atug tukiingia ubia tukatathmini mkopo !!Ikudhamini kwa mkopo mkubwa, wajasiriamali wengi wanaogopa
Mkopo tatizo ni riba kubwa siku hiziWanaogopa kwa kuwa haajiamani.... Jee mimi na wewe na Atug tukiingia ubia tukatathmini mkopo !!
Siku hizi hakuna mswalie, kila nyanja zinakamuana na kila mnyonge anakandamizwa....Mkopo tatizo ni riba kubwa siku hizi