Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Wachaga waliwafukuza wale wenyeji asili hapo kilimanjaro, wakawa wakiishi ktk vichaka ndiyo wakaitwa chaka/chagga hadithi hii niliisoma ktk gazeti la MWANANCHI....Nyingine umenikumbusha kwa kupiga kazi namba moja wachaga
Mwananchi wa kitanzania kwasasa asipopambana kutafuta pesa ohh hakuna ya mchezo mchezoWachaga waliwafukuza wale wenyeji asili hapo kilimanjaro, wakawa wakiishi ktk vichaka ndiyo wakaitwa chaka/chagga hadithi hii niliisoma ktk gazeti la MWANANCHI....
Mchezo wa keram, bao na karata hatutumii pesaMwananchi wa kitanzania kwasasa asipopambana kutafuta pesa ohh hakuna ya mchezo mchezo
Pesa sabuni ya rohoMchezo wa keram, bao na karata hatutumii pesa
Mbaya zaidi eti nashutumiwa kwa kosa la ubakaji.Roho yako mbaya
Ukabaji umekithiri sana mtaani kwetu hasa mida ya usikuUbakaji, au ukabaji
Mbu wanakera mnooUsiku kuna kunguni na mbu
Mnoo wamezidi hasa msimu huu wa jotoMbu wanakera mnoo
Joto na mbu ni vitu vinavyonipa kero mji wa DarMnoo wamezidi hasa msimu huu wa joto
Dar pia kuna foleniJoto na mbu ni vitu vinavyonipa kero mji wa Dar
Foleni,kugombani usafiriDar pia kuna foleni
Usafiri siku hizi tunapanda gari za mwendokasiFoleni,kugombani usafiri
Gari za mwendokasi hazipo sehemu zoteUsafiri siku hizi tunapanda gari za mwendokasi
Sehemu zote zina daladala, bodaboda au bajajiGari za mwendokasi hazipo sehemu zote
Zote zinatakiwa ziwepo ili kurahisisha usafiriGari za mwendokasi hazipo sehemu zote