Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

Kapime ngoma mapema
nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.

It was suturday - hivyo kazi ilikuwa half a day. By saa 8 nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) ilitubidi tuondoke pale hadi villar - kirumba.

Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.

Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) bas tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata cm.

Bajameni ... Mliwahi ona?
 
Nilikutana na mdada mmoja mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali ya nilikokuwa). Alifika ofisini tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.

It was Suturday - hivyo kazi ilikuwa half a day. By saa 8 nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.

Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.

Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) bas tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata cm.

Bajameni ... mliwahi ona?
Hiyo laki ni ya kununulia ARVs, Kazi ni kwako
 
Huyo labda ni Jini manake siyo kawaida......
 
Nitake radhi; over 40 years sio kijana mimi.

OVER 40? Kumbe zee zima kama wewe unakuja kuandika masuala ya kipuuzi kama hayo hapa afu unataka ushaur hujui hata watoto wa form four wanapita hapa? afu wanakuta zee kama wewe unapost upuuzi kama huo jitu zima na familia yako. Kizazi cha sasa si vijana wala wazee wote wapuuzi tu. HESHIMU FAMILIA YAKO WE LIBABA
 
rudisha hiyo laki ya watu, usikubali kuhongwa na mwanamke hata siku moja.
 
mkuu kumbe mitaa yako ni kule villa pembeni ya shooters!!?

hahahaaaa!! hongera bana, mi by that day nilikuwa shootere napata mchemsho wa kuku!

msalimie sana huyo bidada, bila shaka ni mtoto wa kapri point! au sio Tutor B ?
 
Last edited by a moderator:
rudisha hiyo laki ya watu, usikubali kuhongwa na mwanamke hata siku moja.

we mal..aya kweli unafkiri kila mwanamke anatabia kama zako wenzako wanaupendo wa kweli achana na nyie mlio endekeza pesa mbele kama mmezaliwa benki
 
Kapime ngoma rafiki yangu..hiyo hadithi yako utata mtupu..alikuachia pesa ya sanda na chain ya silver maiti yako ipendeze...
 
ayaaaa,ushapiga jini mahaba wewe!!!kazi unayo, lazima ukatwe kidizaini flani!!
 
Utakwe Radhi ya nini kamtake Rashid Miro kwanza kwa kumsaliti Chen uombe toba kwa MOLA wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom