Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Hapo ndipo unapokosea sasa....Mmmh!,...
SINA HAKIKA NA USEMACHO.
Hapo ndipo unapokosea sasa....Mmmh!,...
SINA HAKIKA NA USEMACHO.
Imeandikwa na papa siyo?Katekisimu ya Kanisa Katoliki!
Kweli alimkomoa sana mkemia mkuu, abarikiwe sana na mkemia akome kabisa.Abarikiwe Sana huyo mtu
Kwa hiyo katekisimu ni bora kuliko Biblia?Katekisimu ya Kanisa Katoliki!
Hivi Sabato ndo Jumamosi?Ungemjua Mungu ungefata amri zake
Isaya alinena juu yenu wanafiki
MNAFATA MAFUNDISHO YA WANADAMU
MNAMUABUDU MUNGU BURE
Mungu gani unamuabudu wewe, anayekuamuru ufanye ibada ya jumapili
Sisi twajua IBADA YA JUMAPIL YATOKA KWA PAPA
SABATO YATOKA KWA BWANA
Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).
Ukitaka usikwazike na dini yako, soma shule na vyuo vya wasabato, kazi kafanye kwenye taasisi za kisabato. Otherwise hutapata msaada wowote kutoka kwa yoyote kuhusu malalamiko yako.Mungu nisaidie nifike chuo Kikuu, mungu nisaidie nimalize chuo salamaaa..... Anakusaidia unahitimu salama ila unakataa kwenda kwenye mahafari maana yake ni nini sasa daaaah
Hivi Dunia wakati inaumbwa hii kalenda tunayoitumia ndo ilikuwa hivihivi.Kuna sehemu panaonyesha kuwa Jumamosi ndo Sabato yenyewe na sio Jumatatu Wala Jumanne?Je kuna andiko lolote kwenye Koran linakukataza kufanya kazi siku ya sita ya juma (Ijumaa) maana inakukataza kufanya kazi siku ya Jumamosi (Sabato) au hauna habari?
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Jibu zuri mno!Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Acha arrogance na ujibu hoja, sio kutishana na vimipasho vya imaniMungu akusamehe Hujui ulisemalo
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Siyo siri, wasababto wanajifanya wana imani sana. Siku tulikuwa msafara wa viongozi kadhaa ktk wilaya yetu. Ilikuwa ijumaa. Ilipofika saa 12 jioni, mmoja wetu akasema sabato imefika hawezi kuendelea na safari, tulale hapo tulipo. Dereva akasema hakuagizwa hivyo na TO. Anatakiwa arudishe gari ofisini lina kazi nyingine jumamosi asubuhi.Usipende kututakana wenzako mzee watu wanaiman zao so kuwambia wenzako nimakalio bt endelea kuomba uzma
Hawalalamiki maana dini yao inasema BAADA YA IBADA YA IJUMAA KILA MTU AENDELEE KUFANYA KAZI,Mbona Ijumaa kuna shughuli nyingi tu hufanyika na waislam hawalalamiki?
UbarikiweAcha arrogance na ujibu hoja, sio kutishana na vimipasho vya imani