Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Habari wana jamii!

Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.

Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.

Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.

Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.

Karibuni tueleweshane.
Waanzishe chuo chao tu.

Wakatoliki wameweza.

Ikiwa kila mtu atataka siku yake watu wasifanye kazi,kutakuwa hakuna siku ya kufanya kazi.
 
Nabii feki ni wewe na unaye muabudu. Mungu wangu ninaye muabudu ni tofauti na wako
Ungemjua Mungu ungefata amri zake

Isaya alinena juu yenu wanafiki

MNAFATA MAFUNDISHO YA WANADAMU

MNAMUABUDU MUNGU BURE

Mungu gani unamuabudu wewe, anayekuamuru ufanye ibada ya jumapili

Sisi twajua IBADA YA JUMAPIL YATOKA KWA PAPA

SABATO YATOKA KWA BWANA

Mungu mwenyewe anatoa ahadi kwamba hawezi kuzibadili amri zake [kumi]:
"MIMI SITALIVUNJA agano langu, wala SITABADILI NENO LILILOTOKA MIDOMONI (MWANGU) - (Zaburi 89:34).
 
Wewe ndio mnafki unaye abudu siku.
 
Nabii feki ni wewe na unaye muabudu. Mungu wangu ninaye muabudu ni tofauti na wako
Ni kweli kabisa hujakosea. Mungu anayechukia aya nyingi za biblia lazima awe tofauti
 
Usipende kututakana wenzako mzee watu wanaiman zao so kuwambia wenzako nimakalio bt endelea kuomba uzma
Makalio sio tusi. Binafsi aliposema MAKALIO YA KONKI KONKI ndio kanipa tabu sana!
 
MARKO MTAKATIFU 7:8-9

ISAYA alinena vema juu yenu ninyi wanafiki..MNAOFANYA IBADA JUMAPILI .

"8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.

9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu

MWAIKATAA AMRI YA SABATO ILI MUWEZE KUSHIKA MAPOKEO YA RUMI

FB_IMG_1540769526812.jpeg
 
LAANA YA KUVUNJA AMRI YA SABATO ULIMWEGUNI ,

ENDELEENI KUPIGA KELELE HUMU

"Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo. Dunia inaomboleza inazimia; ulimwengu unadhohofika unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika. Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa, kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele". ISAYA 24:3-5.

Mambo 3 yamezungumziwa ktk msitari wa 5 ambayo ndiyo sababu ya dunia hii kuwa ktk hali hii mbaya:
1. KUZIASI SHERIA - Hii inamaanisha ni kutenda kinyume na sheria za Mungu zinavyosema 'KUTOKA 20:3-17.
2. KUIBADILI AMRI - Hii inamaanisha kuna amri moja iliyobadilishwa maana inazungumzia uchache. Na ukiangalia leo amri ya 4 ndiyo iliyobadilishwa 'KUTOKA 20:8-11, hata Daniel naye alitabiri kuhusiana na jambo hili "DANIEL 7:25".
3. KUVUNJA AGANO LA MILELE - Agano hili la milele lilivunjwa ni Sabato ya Bwana 'KUTOKA 31:16
FB_IMG_1541687340676.jpeg
 
HAKUNA MVUNJA SABATO ATAKAYERUHUSIWA KUIONA MBINGU KWA MUJIBU WA MAANDIKO

Amri Kumi ndizo zinazoonyesha dhambi, kwa maana
"Dhambi ni uvunjaji wa Sheria [Amri Kumi]" (1Yohana 3:4, AJKK; Rum. 7:7).

Inachukua uvunjaji wa amri moja tu kuwa mwenye dhambi.

Kwa hiyo, Mtu yeyote ye yote, haidhuru awe nani au awe na cheo gani, anayeidharau Sheria ya Mungu iliyotolewa mlimani Sinai (Amri Kumi) yuko katika hatari kubwa ya kupoteza uzima wa milele (1 Yoh. 2:3-6; 5:1-5; Zab. 119:155).
Yesu aliye kielelezo chetu na ambaye ni Mungu alishika Amri Kumi za Baba yake; sembuse wewe (Yoh. 15:10).???

<>>>>>>>>>IJUE KWELI IKUWEKE HURU<>>>>>>
FB_IMG_1541687381656.jpeg
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??

Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Sio kila unachofikiria unaandika, mengine jadili na mke wako haishe huko.
 
SIJUI chloloquine au SIJUI ni Asprin
UNGEITAMBULISHA IMANI YAKO WAKATI UNAWEKA HII COMMENT YAKO 👇

MAANA KASHIFA KWA JIRANI YAKO NI DHAMBI YAANI NI SAWA NA KUMTUKANA JIRANI YAKO UKIJIONA WEWE UPO KWENYE 'light track'

PUNGUZA LUGHA YENYE UKAKASI KAMA ULIYOTUMIA HAPO 👆.
 
Sio kila unachofikiria unaandika, mengine jadili na mke wako haishe huko.
Ndio tumejadiliana akanishauri niandike hivyo.... Tena amenishauri nikuambie siyo kila nachokiandika ni lazima ukisome.
 
SIJUI chloloquine au SIJUI ni Asprin
UNGEITAMBULISHA IMANI YAKO WAKATI UNAWEKA HII COMMENT YAKO 👇

MAANA KASHIFA KWA JIRANI YAKO NI DHAMBI YAANI NI SAWA NA KUMTUKANA JIRANI YAKO UKIJIONA WEWE UPO KWENYE 'light track'

PUNGUZA LUGHA YENYE UKAKASI KAMA ULIYOTUMIA HAPO 👆.
Mimi ni msabato niliyetukuka...
 
Back
Top Bottom