Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Dhambi zako ndio zilimuua Yesu,Je waliomuua, sio washika siku?
Soma isaya 53 yote
Dhambi zako ndio zilimuua Yesu,Je waliomuua, sio washika siku?
Hakuwa na haja ya ajiraJamaa yangu aliitwa kufanya interview kwa mkemia mkuu jmos akaacha kwenda kisa tuu ni sabato
Basi Yesu ndio alikuwa mshika siku maana ilikuwa DESTURI yake kila sabato kufanya ibadaEndelea kushika siku sana , kama bado roho yako haiko safi ,sawa na kazi bure....
IMEANDIKWASiyo siri, wasababto wanajifanya wana imani sana. Siku tulikuwa msafara wa viongozi kadhaa ktk wilaya yetu. Ilikuwa ijumaa. Ilipofika saa 12 jioni, mmoja wetu akasema sabato imefika hawezi kuendelea na safari, tulale hapo tulipo. Dereva akasema hakuagizwa hivyo na TO. Anatakiwa arudishe gari ofisini lina kazi nyingine jumamosi asubuhi.
Yule mwenzetu akashuka kutoka garini akatuacha tuendelee na safari. Alisafiri jumapili kwa gharama zake.
Palikuwa na ulazima kiasi kutoendelea na safari wakati ilibaki kama saa moja tu kufika nyumbani?
Imani ya kusonga ugali kwa msalaba.
Kwasababu QURAN inasema siku ya ijumaa ni siku ya kaziMbona Ijumaa kuna shughuli nyingi tu hufanyika na waislam hawalalamiki?
Nani Kasema Hayo?Kwa hiyo katekisimu ni bora kuliko Biblia?
Wasabato ni nani mpaka wapewe special favourIdadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.
nyie mna vichrkesho,nimecheka mpaka machoziKugomea interview kisa dini sio sawa huenda angepata kazi akasaidia familia yake
Mbona umeacha usitoke nje yamtupo wa jiweSiku ya Sabato ni Mali ya BWANA hatupaswi kufanya chochote ila kinacholeta Utukufu kwa Muumbaji wetu. Kwa nionavyo Graduation haileti Utukufu wowote kwa Mungu zaidi ni kwa ajiri kujifurahisha sisi wenyewe.
'"lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako"" Kut.20:10.
Si ndio nyie mnaolilia katiba mpya???Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??
Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?
Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
Visabato masalia vina lalamika kama makalio ya konki konki...
Chuo wanachoHao wasabato waanzishe chuo chao kikuu wawewanafundisha jumapili ijumaa na jumamosi wawe wanapumzika, hao jamaa ni wanafiki sana wenyewe wanafanyaga uovu siku hio ya jumamosi
Amina! Wewe sasa ndo msabato wa kweli...Si ndio nyie mnaolilia katiba mpya???
Sasa hii tuliyonayo inampa mtu nafasi ya kuabudu so inategemea wewe umemuweka mbele Mungu kiasi gani katika maisha yako.
Mi binafsi ni Msabato tangu tumboni mwa mama yangu sijaivunja sabato, shuleni, vyuoni, kazini hata kwenye biashara zangu na nimekua nikiheshimika saana kwa sababu ya uchaji Mungu wangj na kuitunza sabato katika mazingira yoote.
Tambua ukiwa na Hofu ya Mungu popote atakupigania.
ila umekubal kua lengo lake alikua amekusudia kutukanaMakalio sio tusi. Binafsi aliposema MAKALIO YA KONKI KONKI ndio kanipa tabu sana!
Serikali haina dini, mfano dini yangu inasema nile bata 24/7, sasa huoni nami nanyimwa haki yangu? Tuache kulia liaHawalalamiki maana dini yao inasema BAADA YA IBADA YA IJUMAA KILA MTU AENDELEE KUFANYA KAZI,
ILA WASABATO NA WAYAHUDI WANAOFATA biblia na maandiko ya MUNGU WANAAMBIWA HIVI
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi na kutenda mambo yako yote, lakini SIKU YA SABA NI SABATO YA BWANA, MUNGU WAKO. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, … maana kwa siku siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari na vyote vilivyomo, lakini AKAPUMZKA siku ya saba. Kwa hiyo BWANA AKAIBARIKI siku ya Sabato AKAITAKASA" - Kutoka 20:8-11.
Bt imam ya mtu isiwe kigezo cha kumtukana sasaSiyo siri, wasababto wanajifanya wana imani sana. Siku tulikuwa msafara wa viongozi kadhaa ktk wilaya yetu. Ilikuwa ijumaa. Ilipofika saa 12 jioni, mmoja wetu akasema sabato imefika hawezi kuendelea na safari, tulale hapo tulipo. Dereva akasema hakuagizwa hivyo na TO. Anatakiwa arudishe gari ofisini lina kazi nyingine jumamosi asubuhi.
Yule mwenzetu akashuka kutoka garini akatuacha tuendelee na safari. Alisafiri jumapili kwa gharama zake.
Palikuwa na ulazima kiasi kutoendelea na safari wakati ilibaki kama saa moja tu kufika nyumbani?
Imani ya kusonga ugali kwa msalaba.